Adha ya joto nchini Qatar: Maswali Yanayoulizwa Sana kwa wafanyakazi

Adha ya Joto ni hatari, lakini inaweza kudhibitiwa. Angalia jinsi unavyoweza kupunguza athari za joto kali wakati unafanya kazi Qatar.